Dk.Hussein Ali Mwinyi amekemea tabia ya baadhi ya viongozi wa Serikali, Majimbo, Wakuu wa Mikoa, Wilaya na Viongozi wa Halmashauri kutoelewana kwenye utendaji kazi wao.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amekemea tabia ya baadhi ya viongozi wa Serikali, majimbo, wakuu wa Mikoa, Wilaya na viongozi wa halmashauri kutoelewana…

Read More