SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imezitaka taasisi za umma kubadili mifumo ya zamani ya utendaji na utoaji huduma kwa wananchi kwa kuanzisha mifumo ya kisasa ya matumizi ya Teknolojia ya Habari

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imezitaka taasisi za umma kubadili mifumo ya zamani ya utendaji na utoaji huduma kwa wananchi kwa kuanzisha mifumo ya kisasa ya matumizi ya Teknolojia ya Habari…

Read More

Dk.Hussein Mwinyi amezitaka Mahakama Kuu ya Tanzania na Zanzibar kutengeneza mfumo endelevu wakuboresha mageuzi ya kiutendaji yaliyofanyika kwa lengo la kudumisha juhudi za Mahakama hizo.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi azitaka mahakama kuu ya Tanzania na Zanzibar kutengeneza mfumo endelevu wakuboresha mageuzi ya kiutendaji yaliyofanyika…

Read More