Dk. Hussein Ali Mwinyi amekutana na Mkuu mpya wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Gen. Jackob John Nkunda aliefika Ikulu kujitambulisha na kumpongeza kwa dhati kwa kuteuliwa kushika wadhifa huo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amekutana na Mkuu mpya wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Gen. Jackob John Nkunda aliefika Ikulu kujitambulisha na kumpongeza…
Read More