Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amezungumza na Ujumbe wa Maskani ya Kachorora.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akiagana na Viongozi wa Maskani ya Kachorora CCM mara baada ya waliofika Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akisisitiza jambo wakati alipozungumza na Viongozi na wanachama wa Maskani ya Kachorora CCM walipofika katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo wakiongozwa na Mwenyekiti wa Maskani hiyo.Bw.Mohamed Mussa (wa pili kulia).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akizungumza na Viongozi na wanachama wa Maskani ya Kachorora CCM ulioongozwa na Mwenyekiti wa Maskani hiyo.Bw.Mohamed Mussa (wa pili kulia) walipofika Ikulu jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akizungumza na Viongozi na wanachama wa Maskani ya Kachorora CCM walipofika Ikulu Jijijini Zanzibar leo wakiongozwa na Mwenyekiti wa Maskani hiyo.Bw.Mohamed Mussa (kulia kwa Rais)
Katibu wa CCM Jimbo la Kikwajuni Ndg.Khamis Rashid Mbarouk (wa pili kulia) ni miongoni mwa Viongozi wa Maskani ya Kachorora alipokuwa akitoa mchango wake wakati wa mazungumzo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akizungumza na Viongozi wa Maskani ya Kachorora CCM walipofika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo wakiongozwa na Mwenyekiti wa Maskani hiyo.Bw.Mohamed Mussa (kulia kwa Rais)
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amefungua Hoteli ya Kitalii ya Emaralad Resort and Spa P-Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja leo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ,akitembelea hoteli ya Emarald Resort and SPA –Matemwe baada ya kuifungua rasmin jana 28-1-2023 katika Kijiji cha Matemwe na (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud na (kushoto kwa Rais) Meneja Mkuu wa Hoteli ya Emarald Resort and SPA – Matemwe.Bw. Alfredo na Muwekezaji Bw.Francesco
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, akiondoa pazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Hoteli ya Kitalii ya Emarald Resort and SPA Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja na (kushoto) Muwekekazaji wa Hoteli hiyo Bw.Aldo Scarapicchia, ufunguzi wa Hoteli hiyo uliyofanyika jana 28-1-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuifungua Hoteli ya Kitalii ya Emarald Resort and SPA Matemwe, Mkoa wa Kaskazini Unguja, ufunguzi wa Hoteli hiyo uliofanyika jana 28-1-2023, na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, Muwekezaji wa Hoteli Bw. Francesco na Meneja Mkuu wa Hoteli hiyo Bw. Alfredo na (kulia kwa Rais) Muwekezaji Bw. Aldo Scarapicchia na Mkurugenzi Mtendaji wa ZIPA.Bw. Sharif Ali Sharif.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia wakati wa ufunguzi wa Hoteli ya Kitalii ya Emarald Resort and SPA –Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja, hafla hiyo ya ufunguzi iliyofanyika jana 28-1-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, wakimsikiliza Muwekezaji wa Hoteli ya Kitalii ya Emarald Resort and SPA –Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja, wakati akitembelea hoteli hiyo baada ya kuifungua rasmin jana 28-1-2023
BAADHI ya wageni waalikwa wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya ufunguzi wa Hoteli ya Kitalii ya Emarald Resort and SPA –Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika jana 28-1-2023.
BAADHI ya Mawaziri na wageni waalikwa wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya ufunguzi wa Hoteli ya Kitalii ya Emarald Resort and SPA –Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika jana 28-1-2023
BAADHI ya Mawaziri na wageni waalikwa wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya ufunguzi wa Hoteli ya Kitalii ya Emarald Resort and SPA – Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika jana 28-1-2023.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia wakati wa ufunguzi wa Hoteli ya Kitalii ya Emarald Resort and SPA– Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja, hafla hiyo ya ufunguzi iliyofanyika jana 28-1-2023.
BAADHI ya wageni waalikwa wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya ufunguzi wa Hoteli ya Kitalii ya Emarald Resort and SPA –Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika jana 28-1-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, wakimsikiliza Muwekezaji wa Hoteli ya Kitalii ya Emarald Resort and SPA –Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja, wakati akitembelea hoteli hiyo baada ya kuifungua rasmin jana 28-1-2023.
MANJU wa Kikundi cha Sanaa cha JKU Mkoa wa Kaskazini Unguja Ndg. Ameir Saleh Suleiman akionesha umahiri wake wa ngoma ya Kibati wakati wa ufunguzi wa Hoteli ya Kitalii ya Emarald Resort and SPA Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja, iliyofunguliwa jana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuifungua Hoteli ya Kitalii ya Emarald Resort and SPA Matemwe, Mkoa wa Kaskazini Unguja, ufunguzi wa Hoteli hiyo uliofanyika jana 28-1-2023, na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, Muwekezaji wa Hoteli Bw. Francesco na Meneja Mkuu wa Hoteli hiyo Bw. Alfredo na (kulia kwa Rais) Muwekezaji Bw. Aldo Scarapicchia na Mkurugenzi Mtendaji wa ZIPA.Bw. Sharif Ali Sharif
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, akiondoa pazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Hoteli ya Kitalii ya Emarald Resort and SPA Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja na (kushoto) Muwekekazaji wa Hoteli hiyo Bw.Aldo Scarapicchia, ufunguzi wa Hoteli hiyo uliyofanyika jana 28-1-2023
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amefungua Hoteli ya Kitalii ya Emaralad Resort and Spa P-Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja
BAADHI ya wageni waalikwa wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya ufunguzi wa Hoteli ya Kitalii ya Emarald Resort and SPA –Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika jana 28-1-2023.
BAADHI ya Mawaziri na wageni waalikwa wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya ufunguzi wa Hoteli ya Kitalii ya Emarald Resort and SPA –Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika jana 28-1-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, wakimsikiliza Muwekezaji wa Hoteli ya Kitalii ya Emarald Resort and SPA –Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja, wakati akitembelea hoteli hiyo baada ya kuifungua rasmin jana 28-1-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia wakati wa ufunguzi wa Hoteli ya Kitalii ya Emarald Resort and SPA –Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja, hafla hiyo ya ufunguzi iliyofanyika jana 28-1-2023
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ameshiriki matembezi ya kuhamasisha upimaji wa Moyo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI Dkt.Peter Kisenge, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla na Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mhe.Hassan Khamis Hafidh, baada ya kumalizika kwa Matembezi ya Kuhamasisha Upimaji wa Moyo “Tembea na JKCI Linda Afya ya Moyo Wako” na Ufungaji wa Kambi ya Upimaji wa Moyo iliyofanyika 23-27 Januari 2023,katika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja Unguja Jijini Zanzibar.28-1-2023.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazoezi ya viungo ya pamoja baada ya kumaliza Matembezi ya Kuhamasisha Upimaji wa Moyo “Tembea na JKCI Linda Afya ya Moyo Wako” yaliomalizikia katika Uwanja wa Amaan Unguja leo 28-1-2023, na (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe, Hemed Suleiman Abdulla na (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI Dkt. Peter Kisenge na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akishiriki katika mazoezi ya viungo yakiongozwa na Kocha Mkuu wa Mazoezi ya Viungo Zoni D. Ndg. Ahmad Rajab, baada ya kumalizika kwa Matembezi ya Kuhamasisha Upimaji wa Moyo ”Tembea na JKCI Linda Afya ya Moyo Wako” yaliyoazia katika viwanja vya Maisara Suleiman na kumalizikia katika Uwanja wa Amaan Unguja kwa mazoezi ya pamoja ya viungo, na(kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla na Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui na (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI Dkt.Peter Kisenge
WASHIRIKI wa Matembezi ya Kuhamasisha Upimaji wa Moyo “Tembea na JKCI Linda Afya ya Moyo Wako” wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia katika uwanja wa Amaan baada ya kumalizika kwa matembezi hayo yaliyofanyika leo 28-1-2023, yaliyoazia katika viwanja vya Maisara Suleiman na kumalizikia katika Uwanja wa Amaan Unguja kwa mazoezi ya pamoja ya viungo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akishiriki katika Matembezi ya Kuhamasisha Upimaji wa Moyo “Tembea na JKCI Linda Afya ya Moyo Wako” na Kufunga Kambi ya Upimaji wa Moyo iliyofanyika katika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja Unguja Jijini Zanzibar kuazia 23-27, Januari 2023, matembezi hayo yaliyoazia katika viwanja vya Maisra Suleiman na kumalizikia katika Uwanja wa Amaan Unguja leo 28-1-2023, na (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI.Dkt.Peter Kisenge, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hassan Khamis Hafidh na(kulia kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrissa Mustafa Kitwana.
WAZIRI wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kuzungumza na Wananchi, baada ya kumalizika kwa Matembezi ya Kuhamasisha Upimaji wa Moyo “Tembea na JKCI Linda Afya ya Moyo Wako” na ufungaji wa Kambi ya Upimaji wa Moyo iliyofanyika katika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja Unguja Jijini Zanzibar, iliyoaza 23-27,Januari 2023, matembezi hayo yaliyomalizikia katika uwanja wa Amaan Unguja 28-1-2023.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazoezi ya viungo baada ya kumaliza Matembezi ya Kuhamasisha Upimaji wa Moyo “Tembea na JKCI Linda Moyo Wako” yaliomalizikia katika Uwanja wa Amaan Unguja leo 28-1-2023, na (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe, Hemed Suleiman Abdulla na (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI Dkt. Peter Kisenge na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.
WASHIRIKI wa Matembezi ya Kuhamasisha Upimaji wa Moyo “Tembea na JKCI Linda Afya ya Moyo Wako” wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia katika uwanja wa Amaan baada ya kumalizika kwa matembezi hayo yaliyofanyika leo 28-1-2023, yaliyoazia katika viwanja vya Maisara Suleiman na kumalizikia katika Uwanja wa Amaan Unguja kwa mazoezi ya pamoja ya viungo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia Wananchi wa mitaa ya muembemimba akiwa katika Matembezi ya Kuhamasisha Upimaji wa Moyo “Tembea na JKCI Linda Afya ya Moyo Wako” na Kufunga Kambi ya Upimaji wa Moyo iliyofanyika katika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja Unguja Jijini Zanzibar kuazia 23 - 27, Januari 2023,matembezi hayo yaliyoazia katika viwanja vya Maisra Suleiman na kumalizikia katika Uwanja wa Amaan Unguja leo 28-1-2023, na (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI.Dkt.Peter Kisenge
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI Dkt.Peter Kisenge, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla na Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mhe.Hassan Khamis Hafidh, baada ya kumalizika kwa Matembezi ya Kuhamasisha Upimaji wa Moyo “Tembea na JKCI Linda Afya ya Moyo Wako” na Ufungaji wa Kambi ya Upimaji wa Moyo iliyofanyika 23-27 Januari 2023 , katika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja Unguja Jijini Zanzibar.28-1-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akishiriki katika Matembezi ya Kuhamasisha Upimaji wa Moyo “Tembea na JKCI Linda Afya ya Moyo Wako” na Kufunga Kambi ya Upimaji wa Moyo iliyofanyika katika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja Unguja Jijini Zanzibar, kuazia 23-27, Januari 2023, matembezi hayo yaliyoazia katika viwanja vya Maisra Suleiman na kumalizikia katika Uwanja wa Amaan Unguja leo 28-1-2023, na (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI.Dkt.Peter Kisenge, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla,na(kulia kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrissa Mustafa Kitwana
WASHIRIKI wa Matembezi ya Kuhamasisha Upimaji wa Moyo “Tembea na JKCI Linda Afya ya Moyo Wako” wakiwa katika mazoezi ya pamoja ya viungo baada ya kumaliza kwa matembezi hayo katika Uwanja wa Amaan Unguja leo 28-1-2023 Jijini Zanzibar na kufungwa kwa Kambi ya Upimaji wa Moyo iliyofanyika katika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja Zanzibar 23-27, Januari 2023.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akishiriki katika mazoezi ya viungo yakiongozwa na Kocha Mkuu wa Mazoezi ya Viungo Zoni D. Ndg. Ahmad Rajab, baada ya kumalizika kwa Matembezi ya Kuhamasisha Upimaji wa Moyo ”Tembea na JKCI Linda Afya ya Moyo Wako” yaliyoazia katika viwanja vya Maisara Suleiman na kumalizikia katika Uwanja wa Amaan Unguja kwa mazoezi ya pamoja ya viungo, na(kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla na Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui na (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI Dkt.Peter Kisenge
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia Wananchi wa mitaa ya muembemimba akiwa katika Matembezi ya Kuhamasisha Upimaji wa Moyo “Tembea na JKCI Linda Afya ya Moyo Wako” na Kufunga Kambi ya Upimaji wa Moyo iliyofanyika katika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja Unguja Jijini Zanzibar kuazia 23 - 27, Januari 2023, matembezi hayo yaliyoazia katika viwanja vya Maisra Suleiman na kumalizikia katika Uwanja wa Amaan Unguja leo 28-1-2023, na (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI.Dkt.Peter Kisenge
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazoezi ya viungo ya pamoja baada ya kumaliza Matembezi ya Kuhamasisha Upimaji wa Moyo “Tembea na JKCI Linda Afya ya Moyo Wako” yaliomalizikia katika Uwanja wa Amaan Unguja leo 28-1-2023, na (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe, Hemed Suleiman Abdulla na (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI Dkt. Peter Kisenge na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia Wananchi wa mitaa ya muembemimba akiwa katika Matembezi ya Kuhamasisha Upimaji wa Moyo “Tembea na JKCI Linda Afya ya Moyo Wako” na Kufunga Kambi ya Upimaji wa Moyo iliyofanyika katika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja Unguja Jijini Zanzibar kuazia 23 - 27, Januari 2023, matembezi hayo yaliyoazia katika viwanja vya Maisra Suleiman na kumalizikia katika Uwanja wa Amaan Unguja leo 28-1-2023, na (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI.Dkt.Peter Kisenge
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia Wananchi wa mitaa ya muembemimba akiwa katika Matembezi ya Kuhamasisha Upimaji wa Moyo “Tembea na JKCI Linda Afya ya Moyo Wako” na Kufunga Kambi ya Upimaji wa Moyo iliyofanyika katika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja Unguja Jijini Zanzibar kuazia 23 - 27, Januari 2023, matembezi hayo yaliyoazia katika viwanja vya Maisra Suleiman na kumalizikia katika Uwanja wa Amaan Unguja leo 28-1-2023, na (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI.Dkt.Peter Kisenge
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akishiriki katika Matembezi ya Kuhamasisha Upimaji wa Moyo “Tembea na JKCI Linda Afya ya Moyo Wako” na Kufunga Kambi ya Upimaji wa Moyo iliyofanyika katika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja Unguja kuazia 23-27, Januari 2023, matembezi hayo yaliyoazia katika viwanja vya Maisra Suleiman na kumalizikia katika Uwanja wa Amaan Unguja leo 28-1-2023, na (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI.Dkt.Peter Kisenge, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla,Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hassan .K.Hafidh na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kulia kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrissa Mustafa Kitwana
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akishiriki katika Matembezi ya Kuhamasisha Upimaji wa Moyo “Tembea na JKCI Linda Afya ya Moyo Wako” na Kufunga Kambi ya Upimaji wa Moyo iliyofanyika katika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja Unguja Jijini Zanzibar kuazia 23-27, Januari 2023, matembezi hayo yaliyoazia katika viwanja vya Maisra Suleiman na kumalizikia katika Uwanja wa Amaan Unguja leo 28-1-2023, na (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI.Dkt.Peter Kisenge, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hassan Khamis Hafidh na(kulia kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrissa Mustafa Kitwana
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI Dkt.Peter Kisenge, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla na Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mhe.Hassan Khamis Hafidh, baada ya kumalizika kwa Matembezi ya Kuhamasisha Upimaji wa Moyo “Tembea na JKCI Linda Afya ya Moyo Wako” na Ufungaji wa Kambi ya Upimaji wa Moyo iliyofanyika 23-27 Januari 2023, katika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja Unguja Jijini Zanzibar.28-1-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia baada ya kumalizika kwa Matembezi ya Kuhamasisha Upimaji wa Moyo “Tembea na JKCI Linda Afya ya Moyo Wako” na kufunga Kambi ya Upimaji wa Moyo, iliyofanyika katika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja Unguja Jijini Zanzibar 23-27,Januri 2023 matembezi hayo yaliyomalizikia katika Uwanja wa Amaan Unguja kwa mazoezi ya pamoja ya viungo 28-1-2023
MKURUGENZI Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akizungumza baada ya kumaliza kwa Matembembezi ya Kuhamasisha Upimaji wa Moyo “Tembea na JKCI Linda Afya ya Moyo Wako” na ufungungaji wa Kambi ya Upimaji wa Moyo iliyofanyika katika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja iliyoaza 23-27,Januari 2023, ufungaji huo uliyofanyika katika uwanja wa Amaan Unguja Jijini Zanzibar 28-1-2023
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiwa katika picha na Watoto wa Mtaa wa Miembeni Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiwa katika picha na Watoto wa Mtaa wa Miembeni Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo mara baada ya kushiriki katika Ibada ya Swala ya Ijumaa 13/01/2023.