Makabidhiano ya Ofisi ya Rais -Ikulu Zanzibar.
ALIYEKU Katibu Mkuu Ofisi ya Rais - Ikulu Zanzibar Ndg. Mussa Haji Ali akizungumza na Wakuu wa Taasisi za Ofisi ya Rais - Ikulu wakati wa hafla ya kukabidhi Ofisi kwa Katibu Mkuu Mpya wa Ofisi ya Rais - Ikulu Zanzibar Ndg. Masoud Hussein Iddi (kulia kwake) makabidhiano hayo yaliyofanyika leo 9-8-2022. Katika ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya Rais –Ikulu Zanzibar.
ALIYEKUWA Katibu Mkuu Ofisi ya Rais – Ikulu Zanzibar Ndg. Mussa Haji Ali akimkabidhi vitendea Kazi Katibu Mkuu Mpya wa Ofisi ya Rais –Ikulu Zanzibar Ndg.Masoud Hussein Iddi (kulia) wakati wa hafla ya makabidhiano ya Ofisi hiyo yaliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya Rais - Ikulu leo 9-8-2022.
KATIBU Mkuu Ofisi ya Rais-Ikulu Zanzibar Ndg.Masoud Hussein Iddi akizungumza na Wakuu wa Idara za Ofisi ya Rais Ikulu, wakati wa hafla ya kukabidhiwa Ofisi na aliyekuwa Katika Mkuu Ofisi ya Rais Ikulu Ndg. Mussa Haji Ali.(hayupo pichani) makabidhiano hayo yaliyofanyika leo 9-8-2022. Katika ukumbi wa mikutano Ofisi ya Rais - Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ameshughudia utiaji wa Saini ya Ujenzi wa Barabara za Juu (Flyover) Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza baada ya utiaji wa Saini ya Mradi wa Ujenzi wa Barabara za Juu (Flyover) katika Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, kwa upande wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar amesaini Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Bi. Khadija Khamis Rajab na kwa Kampuni ya CCECC amasaini Mkurugenzi Muendeshaji Bw. Zhang Junle Le, hafla hiyo imefanyika leo 6-8-2022, katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akishuhudia utiaji wa Saini ya Mradi wa Ujenzi wa Barabara za Juu (Flyover) katika Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, kwa upande wa Serekali ya Mapinduzi Zanzibar amesaini Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Bi.Khadija Khamis Rajab na kwa upande wa Kampuni ya CCECC kutoka China amesaini Mkurugenzi Muendeshaji Bw. Zhang Junle Le, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 6-8-2022.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mkurugenzi Muendeshaji wa Kampuni ya CCECC kutoka Nchini China Bw. Zhang Junle Le.(hayupo pichani) akitowa maelezo ya Kitaalamu ya Ujenzi wa Barabara za Mjini Magharibi zaidi ya Kilomita Mia moja, wakati wa hafla ya utiaji wa Saini ya Ujenzi wa Barabara za Mkoa wa Mjini Unguja uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 6-8-2022.
WAKUU wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza baada ya utiaji wa Saini ya Mradi wa Ujenzi wa Barabara za Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja zaidi ya Kilomita Mia Moja, zitakazojengwa na Kampuni ya CCECC kutoka Nchini China, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 6-8-2022.
Rais wa Zanzibar ambae pia ni mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ameshiriki uchaguzi wa Chama Cha Mapinduzi wadi ya Migombani Jimbo la Mpendae Zanzibar Leo 6-8-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatilia maelezo ya mmoja wa Mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Wadi ya Migombani Jimbo la Mpendae Zanzibar Ndg. Sleyum Mustafa Aboud.(hayupo pichani) akijieleza na kuomba kura kwa Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Wadi uliofanyika katika Tawi la CCM Kilimani Unguja leo 6-8-2022 na (kulia kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Abdalla Juma Sadala (Mabodi) na (kushoto kwa Rais) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Ndg. Talib Ali Talib na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Mustafa Kitwana
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatilia maelezo ya mmoja wa Mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Wadi ya Migombani Ndg. Sleyum Mustafa Aboud.(hayupo pichani) akijieleza na kuomba kura kwa Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Wadi uliofanyika katika Tawi la CCM Kilimani Unguja leo 6-8-2022 na (kushoto kwa Rais) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Ndg. Talib Ali na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Mustafa Kitwana.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akipiga kura kumchagua Mwenyekiti wa Wadi ya Migombani Jimbo la Mpendae Zanzibar, wakati wa Mkutano Mkuu wa Wadi ya Migombani uliofanyika katika Tawi la CCM Kilimani Unguja leo 6-8-2022.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akizungumza na Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi Wadi ya Migombani Jimbo la Mpendae Zanzibar,baada ya kupiga kura yake kuwachagua Viongozi wa Wadi hiyo, wakati wa Mkutano Mkuu wa Wadi uliofanyika katika ukumbi wa Tawi la CCM Kilimani Wilaya ya Mjini Unguja leo 6-8-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akizungumza na Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi Wadi ya Migombani Jimbo la Mpendae Zanzibar, baada ya kupiga kura yake kuwachagua Viongozi wa Wadi hiyo, wakati wa Mkutano Mkuu wa Wadi uliofanyika katika ukumbi wa Tawi la CCM Kilimani Wilaya ya Mjini Unguja leo 6-8-2022.
Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Mwinyi ametoa Mkono wa Pole kwa Familia ya Marememu Hajjat Akiba Rajab Ramadhan.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akitowa mkono wa pole kwa Mume wa Marehemu Hajjat Akiba Rajab Ramadhan, aliyefariki Madina Nchini Saudi Arabia baada ya kukamilisha Ibada ya Hijja, Sheikh. Abdulrahaman Saleh alipofika nyumbani kwa marehemu Fuoni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja kutoa mkono wa pole kwa familia ya marehemu leo 5-8-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akishiriki dua ya kumuombea Marehemu Hajjat Akiba Rajab Ramadhan aliyefariki Madina Nchini Saudi Arabia, baada ya kumaliza kwa Ibada ya Hijja, ikisomwa na Sheikh Abdalla Talib.(kushoto kwa Rais) na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba, Sheria,Utumishi na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman, baada ya kutowa Mkono wa Pole kwa Familia ya Marehemu Fuoni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 5-8-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akishiriki dua ya kumuombea Marehemu Hajjat Akiba Rajab Ramadhan aliyefariki Madina Nchini Saudi Arabia, baada ya kumaliza Ibada ya Hijja, ikisomwa na Sheikh Abdalla Talib.(kushoto kwa Rais) baada ya kutowa Mkono wa Pole kwa Familia ya Marehemu Fuoni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 5-8-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akitowa mkono wa Pole kwa Familia ya Marehemu Hajat Akiba Rajab Ramadhan, aliyefariki katika Mji wa Madina Nchini Saudi Arabia, baada ya kukamilisha Ibada ya Hijja, alipofika nyumbani kwa Marehemu Fuoni Wilaya ya Magharibi “B”Unguja leo 5-8-2022.
Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi amejumuika na waumini wa Dini ya kiislam katika sala ya Ijumaa Masjid Qubba kwa Boko Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi na Waumini wa Dini ya Kiislam baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Qubba Kwaboko Wilaya ya Mjini Unguja leo, 5-8-2022.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia Watoto baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Qubba Kwaboko leo 5-8-2022, Wilaya ya Mjini Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Watoto wa Kwaboko baada ya kuwasalimia na kupiga picha nao nje ya Masjid hiyo baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Qubba Kwaboko leo 5-8-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Saleh Omar Kabi.(kulia kwa Rais) na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria, Utumishi na Utawala Bora Zanzibar.Mhe. Haroun Ali Suleiman, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa uliyofanyika katika Masjid Qubba Kwaboko Wilaya ya Mjini Unguja leo 5-8-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na mmoja wa Kiongozi wa Masjid Qubba Kwaboko Wilaya ya Mjini Unguja Bw. Ali Hobe, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid hiyo na (kulia kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Saleh Omar Kabi. 5-8-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Watoto wa Kwaboko baada ya kuwasalimia na kupiga picha nao nje ya Masjid hiyo baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Qubba Kwaboko leo 5-8-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi na Waumini wa Dini ya Kiislam baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Qubba Kwaboko Wilaya ya Mjini Unguja leo, 5-8-2022