Rais wa Zanzibar Mhe.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Kuzungumza na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Mpango Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiongozana na mgeni wake Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Philip Isdor Mpango, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, akiwa katika ziara ya Kiserikali Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Philip Isdor Mpango (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo, akiwa Zanzibar kwa ziara ya Kiserikali na (kulia kwake) Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira )Mhe.Suleiman Jafo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza mgeni wake Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.Philip Isdor Mpango, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu akiwa Zanzibar kwa ziara ya Kiserikali.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akifurahia jambo na mgeni wake Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Philip Isdor Mpango alipofika Ikulu Jijinui Zanzibaer kwa mazungumzo yaliofanyika leo, akiwa Zanzibar kwa ziara ya Kiserikali
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Philip Isdor Mpango, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na mgeni wake Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Philip Isdor Mpango alipowasili katika ukumbi wa mkutano Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo akiwa Zanzibar kwa ziara ya Kiserikali
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Philip Isdor Mpango, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amelifungua Kongamano la Uchumi wa Buluu Zanzibar katika Ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Kongamano la Uchumi wa Buluu kwa Maendeleo ya Kijamii Kiuchumi na Uhifadhi wa Mazingira Zanzibar, lililoandaliwa na Taasisi ya Uongozi Tanzania na kufanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar.
WAWAKILISHI wa UN na Wageni waalikwa wakifuatilia hutuba ya ufunguzi ya Kongamano la Uchumi wa Buluu kwa Maendeleo ya Kijamii Kiuchumi na Uhifadhi wa Mazingira Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani) akihutibia na kulifungua rasmin katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Kongamano la Uchumi wa Buluu kwa Maendeleo ya Kijamii Kiuchumi na Uhifadhi wa Mazingira Zanzibar, lililoandaliwa na Taasisi ya Uongozi Tanzania na kufanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Kongamano la Uchumi wa Buluu kwa Maendeleo ya Kijamii Kiuchumi na Uhifadhi wa Mazingira Zanzibar, lililoandaliwa na Taasisi ya Uongozi Tanzania na kufanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar.
BAADHI ya Mawaziri na wageni waalikwa wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Kongamano la Uchumi wa Buluu kwa Maendeleo ya Kijamii Kiuchumi na Uhifadhi wa Mazingira Zanzibar, lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar.
WAZIRI wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar Mhe. Abdalla Hussein Kombo akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin kulifungua Kongamano la Uchumi wa Buluu kwa Maendeleo ya Kijamii Kiuchumi na Uhifadhi wa Mazingira Zanzibar, lililofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika ukumbi wa hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar.
MWAKILISHI Mkazi wa UN Women Tanzania Bi.Hodan Addou akizungumza na kutowa Salamu za Shirika lake katika mkutano wa Ufunguzi wa Kongamano la Uchumi wa Buluu Zanzibar lililofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar.
MWAKILISHI Mkazi wa UNDP Nchini Tanzania Bi. Christine Musisi akizungumza na kutowa Salamu za Shirika lake katika mkutano wa Ufunguzi wa Kongamano la Uchumi wa Buluu Zanzibar lililofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar.
MRATIBU UNEP Nchini Tanzania Bi. Clara Makenya akizungumza na kutowa Salamu za Shirika lake katika mkutano wa Ufunguzi wa Kongamano la Uchumi wa Buluu Zanzibar lililofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa amesimama na Viongozi wa meza kuu wakati ukipigwa wimbo wa Taifa na wa Afrika Mashariki katika hafla ya Ufunguzi wa Kongamano la Uchumi wa Buluu kwa Maendeleo ya Kijamii, Kiuchumi na Uhifadhi wa Mazingira Zanzibar, lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar, (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla,Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Mustafa Kitwana na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar Mhe. Abdalla Hussein Kombo, Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid na Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Uongozi Bw.Kadari Singo
WASHIRIKI wa Kongamano la Uchumi wa Buluu kwa Maendeleo ya Kijamii Kiuchumina Uhifadhi wa Mazingira Zanzibar, wakifuatilia Kongamano hilo lililofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar.
BAADHI ya Mabalozi wadogo wanaofanyia kazi zao Zanzibar wakiwa wamesimama wakati ukipigwa wimbo wa Taifa na wa Afrika Mashariki kabla ya kuaza kwa ufunguzi wa Kongamano la Uchumi wa Buluu Zanzibar, lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatilia maelezo ya Kongamano la Uchumi wa Buluu yakitowa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Uongozi Tanzania Bw.Kadari Singo, akitowa maelezo ya Kongamano hilo (hayupo pichani)lililofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar na (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar.Mhe. Abdallah Hussein Kombo
Ufunguzi wa Skuli ya Turkish Maarif Zanzibar na Mahfali ya Kwanza.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Simai Mohamed Said (katikati)wakifuatana na Viongozi wengine alipowasili katika sherehe za ufunguzi wa Skuli ya Turkish Maarif Zanzibar iliyopo Kijiji cha SoS Mombasa Jijini Zanzibar sambamba na Mahfali ya kwanza ya kidato cha sita Skulini hapo ambapo amemuwakilisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi katika sherehe hiyo(kulia) Mjumbe wa Bodi ya Maarif kutoka nchini Uturuku Prof.Aysen Gurshan na Balozi wa Uturuki Nchini Tanzania Dkt.Mehment Gulluoglu.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (wa nne kulia)akiwa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Simai Mohamed Said (kushoto kwa Mama) pamoja na Viongozi mbali mbali alipotembelea darasa la Komputa baada ya kuifungua wa Skuli ya Turkish Maarif Zanzibar iliyopo Kijiji cha SoS Mombasa jijini Zanzibar ambapo amemuwakilisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyipamoja na sherehe ya Mahfali ya kwanza ya kidato cha sita Skulini hapo.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Marium Mwinyi akitoa hutuba yake ya ufunguzi wa Skuli ya Turkish Maarif Zanzibar iliyopo Kijiji cha SoS Mombasa Zanzibar sambamba na Mahfali ya kwanza ya kidato cha sita Skulinihapo akimuwakilisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi katika sherehe hiyo(kulia) Balozi wa Uturuki Nchini Tanzania Dkt. Mehment Gulluoglu na Mjumbe wa Bodi ya Maarif kutoka nchini Uturuku Prof.Aysen Gurshan (katikati).
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (kushoto)akiwaangalia wanafunzi Majid Mohamed Msanif na Hajra Ali Khamis walipokuwa wakifanya mazoezi ya Vitendo alipotembelea Chumba cha Maabara baada ya kuifungua wa Skuli ya Turkish Maarif Zanzibar iliyopo Kijiji cha SoS Mombasa Jijini Zanzibar ambapo amemuwakilisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi pamoja na sherehe ya Mahfali ya kwanza ya kidato cha sita Skulini hapo leo(katikati) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Simai Mohamed Said.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Marium Mwinyi akimakbidhi cheti Mwanafunzi Ayman Juma Malik akiwa Mwanafunzi Bora katika wahitimu wa kidatu cha sita katika sherehe ya mahfali ya kwanza ya Skuli ya Maarif Zanzibar iliyopo Kijiji cha SoS Mombasa Mjini Magharibi Ufunguziwa Skuli hoyo alipomuwakilisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) Waziri wa Elimu na mafunzo ya Amali Mhe.Simai Mohamed Said.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Marium Mwinyi akimakbidhi cheti Mwanafunzi Nassir Kassim Mzee akiwa Mwanafunzi Bora katika wahitimu wa kidatu cha sita katika sherehe ya mahfali ya kwanza ya Skuli ya Maarif Zanzibar iliyopo Kijiji cha SoS Mombasa Mjini Magharibi Ufunguzi wa Skuli hoyo leo alipomuwakilisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) Waziri wa Elimu na mafunzo ya Amali Mhe.Simai Mohamed Said.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (katikati)akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Skuli ya Turkish Maarif Zanzibar iliyopo Kijiji cha SoS Mombasa Jijini Zanzibar ambapo amemuwakilisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyipamoja na sherehe ya Mahfali ya kwanza ya kidato cha sita skulini hapo.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Marium Mwinyi akiwazawadia Wanafunzi Hajra Ahmed na Akmal Ahmed mara baada ya Wimbo maalum ulioimbwa na wanafunzi wa Maandalizi wakati wa sherehe za ufunguzi wa Skuli ya Turkish Maarif Zanzibar iliyopo Kijiji cha SoS Mombasa Zanzibar sambamba na Mahfali ya kwanza ya kidato cha sita Skulini hapo ambapo amemuwakilisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi katika sherehe hiyo.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (kushoto) akiwasalimia wanafunzi wa Maandalizi katika sherehe za ufunguzi wa Skuli ya Turkish Maarif Zanzibar iliyopo Kijiji cha SoS Mombasa Jijini Zanzibar sambamba na Mahfali ya kwanza ya kidato cha sita Skulini hapo ambapo amemuwakilisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi katika sherehe hiyo leo walipokuwa wakiimba wimbo maalum.
Wazee wa Wanafunzi wanaosoma katika Skuli ya Turkish Maarif Zanzibar wakiwa katika sherehe za ufunguzi wa Skuli hiyo iliyopo Kijiji cha SoS Mombasa Jijini Zanzibar sambamba na Mahfali ya kwanza ya kidato cha sita Skulini hapo wakimsikiliza Mgeni rasmi Mke wa Rais Mama Marium Mwinyi akimuwakilisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi katika sherehe hiyo wakati alipokuwa akitoa hutuba yake ya ufunguzi.
Baadhi ya wageni kutoka Uturuki waliohudhuria katika sherehe za ufunguzi wa Skuli ya Turkish Maarif Zanzibar iliyopo Kijiji cha SoS Mombasa Jijini Zanzibar sambamba na Mahfali ya kwanza ya kidato cha sita Skulini hapo ambapo Mgeni rasmi alikuwa Mke wa Rais Mama Marium Mwinyi akimuwakilisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi katika sherehe hiyo alipokuwa akitoa hutuba yake ya ufunguzi.
Wanafunzi wakiimba wimbo maalum wakati wa sherehe za ufunguzi wa Skuli ya Turkish Maarif Zanzibar iliyopo Kijiji cha SoS Mombasa Jijini Zanzibar sambamba na Mahfali ya kwanza ya kidato cha sita Skulini hap oleo ambapo Mgeni rasmi alikuwa Mke wa Rais Mama Marium Mwinyi akimuwakilisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi katika sherehe hiyo.
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amezungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Dunia kanda ya Afrika.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na mgeni wake Mkurugenzi Mtendaji Benki ya Dunia Kanda ya Afrika Dk.Taufila Nyamadizabo, alipowasili katika ukumbi wa mkutano Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika leo 10-6-2021
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza mgeni wake Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Dunia Kanda ya Afrika Dk. Taufila Nyamadizabo, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na mgeni wake Mkurugenzi Mtendaji Benki ya Dunia Kanda ya Afrika Dk.Taufila Nyamadizabo, alipowasili katika ukumbi wa mkutano Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika leo 10-6-2021
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Mkurugenzi Mtendaji Benki ya Dunia Kanda ya Afrika.Dk.Taufila Nyamadizabo, alipofika Ikulu kwa mazungumzo yaliofanyika leo 10-6-2021 katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
Dk. Hussein Ali Mwinyi amefungua mkutano mkuu wa Madaktari wa Upasuaji Tanzania.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akifuata na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Mhe.Nassor Ahmed Mazrui (katikati) pamoja na Viongozi wengine mara alipowasili katika Hoteli ya Madinat -Al-Bahar Mbweni nje ya Jiji la Zanzibar kuufungua Mkutano wa Mkuu wa Madaktari wa Upasuaji Tanzania(TSA).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (mbele wa tatu kushoto) akitoa hutuba yake wakati wa ufunguzi rasmi wa Mkutano wa Mkuu wa madaktari wa Upasuaji Tanzania (TSA)alioufungua leo katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat -Al-Bahar Mbweni nje ya Jiji la Zanzibar(kushoto mbele) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.
Baadhi ya washiriki katika Mkutano Mkuu wa madaktari wa Upasuaji Tanzania (TSA) wakiwa katika ukumbi wa Mkutano wa Hoteli ya Madinat AL Bbahar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake ya ufunguzi rasmi wa Mkutano huo ulioanza leo.
Mkurugenzi katika Hospitali ya Mnazi Mmoja Dk.Marijani Msafiri alipokuwa akitoa maelezo wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 26 wa Madaktari wa Upasuaji Tanzania(TSA) ulioanza leo katika Hoteli ya Madinat Al Bahar, Nje ya Jiji la Zanzibar na kufunguliwa rasmi na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(katikati).
Rais wa Chama cha Madaktari wa Upasuaji Tanzania(TSA)Prof. Catherine Mngongo alipokuwa akitoa maelezo kuhusu chama hicho wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 26 wa Madaktari wa Upasuaji Tanzania (TSA) ulioanza leo latika Hoteli ya Madinat Al Bahar, Nje ya Jiji la Zanzibar.
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Mhe.Nassor Ahmed Mazrui(kushoto)alipokuwa akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (wa pili kulia) kuufungua rasmi wa Mkutano wa Mkuu wa madaktari wa Upasuaji Tanzania (TSA) leo katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat -Al-Bahar Mbweni nje ya Jiji la Zanzibar (katikati) Rais wa Chama cha Madaktari wa Upasuaji Tanzania (TSA) Prof. Catherine Mngongo.
Baadhi ya washiriki katika Mkutano Mkuu wa madaktari wa Upasuaji Tanzania (TSA) wakiwa katika ukumbi wa Mkutano wa Hoteli ya Madinat AL Bbahar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake ya ufunguzi rasmi wa Mkutano huo ulioanza leo.
Rais wa Chama cha Madaktari wa Upasuaji Tanzania(TSA) Prof. Catherine Mngongo alipokuwa akitoa maelezo kuhusu chama hicho wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 26 wa Madaktari wa Upasuaji Tanzania (TSA) ulioanza leo latika Hoteli ya Madinat Al Bahar,Nje ya Jiji la Zanzibar.
Baadhi ya washiriki katika Mkutano Mkuu wa madaktari wa Upasuaji Tanzania (TSA) wakiwa katika ukumbi wa Mkutano wa Hoteli ya Madinat AL Bbahar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake ya ufunguzi rasmi wa Mkutano huo ulioanza leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akipata maelezo wakati alipotembelea maonesho yanayohusu masuala ya dawa na vifaa vya Afya baada ya ufunguzi rasmi wa Mkutano Mkuu wa madaktari wa Upasuaji alioufungua leo katika Hoteli ya Madinat -Al-Bahar Mbweni nje ya Jiji la Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kushoto) akiangalia vifaa mbali mbali wakati alipotembelea maonesho yanayohusu masuala ya dawa na vifaa vya Afya baada ya ufunguzi rasmi wa Mkutano Mkuu wa madaktari wa Upasuaji alioufungua leo katika Hoteli ya Madinat -Al-Bahar Mbweni nje ya Jiji la Zanzibar (kushoto).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kushoto)akisalimiana wafanyakazi wakati alipotembelea maonesho yanayohusu masuala ya dawa na vifaa vya Afya baada ya ufunguzi rasmi wa Mkutano Mkuu wa madaktari wa Upasuaji alioufungua leo katika Hoteli ya Madinat -Al-Bahar Mbweni nje ya Jiji la Zanzibar (kushoto)