State House Blog

Rais wa Zanzibar amehutubia katika Mahafali ya 21 ya Chuo Kikuu cha Tunguu (Zanzibar University) Kibele Leo 5-12-2023

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kukifungua Kituo cha Kujisomea cha Masafa Marefu katika Chuo cha ZU Zanzibar Kibele Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja, wakati wa Mahafali ya 21 ya Chuo hicho yaliyofanyika leo 5-12-2023 na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Chuo cha ZU Mhandisi Dkt..Abdulqadil Othman Hafiz na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Lela Muhamed Mussa
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, alimsikiliza Msaidizi na Mratibu wa Kituo cha Kisomo cha Masafa marefu wa Chuo cha ZU Kubele Tunguu Wilaya ya Kati Unguja, Muhusin Mustafa, baada ya kukifungua Kituo cha Kujisomea cha Masafa Marefu katika Chuo hicho, wakati wa hafla ya Mahafali ya 21 ya Chuo hicho yaliyofanyika leo 5-12-2023 katika viwanja vya Chuo Kibele Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia na Mkuu wa Chuo cha ZU Mhandisi Dkt.Abdulqadir Othman Hafiz (kushoto) kukifungua Kituo cha kujisomea cha Masafa marefu, katika Chuo cha ZU Kibele Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja , wakati wa hafla ya Mahafali ya 21 ya chuo hicho yaliyofanyika leo 5-12-2023.na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisoma maelezo ya jiwe la msingi la ufunguzi wa Kituo cha Kujisomea cha Masafa marefi, katika Chuo cha ZU Kibele Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja, akiwa na Mkuu wa Chuo cha ZU Mhandisi Dkt. Abdulqadil Othman Hafiz,wakati wa hafla ya Mahafali ya 21 ya Chuo hicho yaliyofanyika leo 5-12-2023 katika viwanja vya Chuo hicho Kibele Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya 21 ya Chuo cha ZU Zanzibar Kibele Tunguu Wilaya Kati Unguja Mkoa wa Kusini Unguja leo 5-12-2023.