State House Blog

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inatarajia kuanzisha Shirika la Ndege ili kuongeza ushindani katika sekta ya usafiri wa Anga

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi leo, tarehe 17 Novemba 2026 akizungumza na Madiwani wa Jiji la Arusha wakiongozwa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, ambaye pia Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mhe. Paul Makonda, na kusisitiza umuhimu wa kuimarisha ushirikiano katika sekta ya utalii, kuvutia uwekezaji na kuandaa vifurushi vya pamoja vya utalii kati ya Zanzibar na Arusha.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameyasema hayo leo, tarehe 17 akizungumza na na Madiwani wa Jiji la Arusha wakiongozwa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, ambaye pia Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mhe. Paul Makonda Ikulu Zanzibar leo 17 Nov, 2026.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi leo, tarehe 17 Novemba 2026 akizungumza na Madiwani wa Jiji la Arusha wakiongozwa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, ambaye pia Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mhe. Paul Makonda, na kusisitiza umuhimu wa kuimarisha ushirikiano katika sekta ya utalii, kuvutia uwekezaji na kuandaa vifurushi vya pamoja vya utalii kati ya Zanzibar na Arusha.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, ambaye pia Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mhe. Paul Makonda, Ikulu Zanzibar.
  • Wasaidizi wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi wakimsikiliza kwa makini Rais wa Zanzibar wakati akizungumza na Madiwani wa Jiji la Arusha wakiongozwa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Ikulu Zanzibar.