Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amezungumza na Rais wa Taasisi ya YTB ya Uturuki.
07 Dec 2023
55
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Balozi wa Uturuki Nchini Tanzania Mhe. Dr.Mehmet Gulluoglu, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na Ujumbe wa Taasisi ya Ufadhili wa Masomo Nchini Uturuki (YTB) ukiongozwa na Rais wa taasisi hiyo Bw. Abdullah Eren (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 7-12-2023.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Rais wa Taasisi ya Ufadhili wa Masomo Nchini Uturuki (TYB) kutoka Wizara ya Utamaduni na Utalii inayoshughulikia Mambo ya Nje (kulia kwa Rais) Bw. Abdullah Eren na Balozi wa Uturuki Nchini Tanzania Mhe. Dr.Mehmet Gulluoglu, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 7-12-2023