Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amekutana na Balozi wa Italia nchini Tanzania, Mhe. Giuseppe Sean Coppola Ikulu Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amemshukuru Balozi wa Italia nchini Tanzania, Mhe. Giuseppe Sean Coppola, kwa kuendelea kuimarisha uhusiano…

Read More

Rais Dkt.Mwinyi amekutana na Uongozi wa EcoBank.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amekutana na uongozi wa Benki ya Ecobank, ukiongozwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kitengo cha Wateja wa Biashara…

Read More

Rais Dkt. Mwinyi amekagua Mradi wa Mji wa Afcon Fumba na kuangalia maendeleo ya Uwanja.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameutembelea mradi wa Mji wa AFCON Fumba uliopo Mkoa wa Mjini Magharibi. Ziara hiyo imefanyika leo tarehe…

Read More

Dkt.Mwinyi amewaapisha wakuu wa Wilaya wapya aliowateuwa hivi karibuni.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewaapisha Wakuu wa Wilaya aliowateua hivi karibuni. Hafla hiyo ya uapisho imefanyika leo tarehe 13 Aprili 2026,…

Read More