Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Ali Mohamed Shein amefuta uteuzi wa
MKURUGENZI MKUU WA SHIRIKA LA NYUMBA,
NDUGU MOHAMMED HAFIDH RAJAB

kuanzia leo tarehe 12 Oktoba, 2017.