Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Ali Mohamed Shein amemteua Bwana Yussuf Omar Chunda kuwa MWENYEKITI WA BODI YA USHAURI YA USAJILI YA MAGAZETI NA VIJARIDA, ZANZIBAR. 

Uteuzi huo umeanza tarehe 19 Oktoba, 2017.