Dk. Mwinyi amekutana na Wanafunzi watakaoitembelea NASA, Marekani na kuhudhuria Hackathon, Oman.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema kuwa Serikali itaendelea kuunga mkono juhudi za kuwaandaa vijana wengi zaidi wa Zanzibar kuwa wataalamu…
Read More