Dkt.Mwinyi amepokea mkono wa pole kufuatia kifo cha kaka yake, Abbas Ali Mwinyi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amepokea mkono wa pole kufuatia kifo cha kaka yake, Abbas Ali Mwinyi, kilichotokea jana tarehe 25 Septemba…

Read More

Dkt. Mwinyi ametoa Wito kwa Wazanzibari kuepuka Siasa za Kikanda, kidini , Ubaguzi na Mifarakano ili Nchi ipate Maendeleo zaidi.

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi Dkt Hussein Ali Mwinyi ametoa Wito kwa Wazanzibari kuepuka Siasa za Kikanda, kidini , Ubaguzi na Mifarakano ili Nchi ipate Maendeleo…

Read More

Rais Mwinyi amesema tutaendelea kuweka uwiano sawa wa Maendeleo Unguja na Pemba

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewahakikishia wananchi…

Read More

Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameahidi kujenga soko kubwa la kisasa katika eneo la Kinyasini

Mgombea wa Kiti cha Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi, ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameahidi kujenga soko kubwa la…

Read More

Rais Mwinyi amejumuika na Wananchi katika Mazishi ya Sheikh Omar Bin Ali Qullaten

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amejumuika na mamia ya wananchi katika mazishi ya marehemu Sheikh Omar Bin Ali Qullaten, aliyefariki dunia…

Read More