Mgombea wa Kiti cha Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi, ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi,akisalimiana na wafanyabiashara na wajasi
Mgombea wa Kiti cha Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi, ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi,akisalimiana na miongoni mwa wafanyabiashara na wajasiriamali wa Soko la Bidhaa Kinyasini Mkoa wa Kaskazini Unguja.