CCM itafanya Kampeni za Kistaarabu kwa sera zenye tija kwa Wananchi.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ambaye pia ni Mgombea Mteule wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), amechukua fomu ya kugombea…

Read More

Dk.Mwinyi amechukua Fomu ya Urais wa Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi ambaye pia ni Mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), leo tarehe 30 Agosti 2025 amechukua…

Read More

Mama Mariam Mwinyi amepokea shilling Milioni 35 za fomu ya Urais ya Dkt.Mwinyi kutoka kwa UWT

Mke wa Rais wa Zanzibar, Msarifu na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF), Mama Mariam Mwinyi amewashukuru Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) pamoja…

Read More

Dk. Mwinyi ameishukuru Serikali ya Qatar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameshuhudia utiaji saini wa Mkataba wa Makubaliano ya Ushirikiano kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya kimkakati…

Read More

Dkt. Mwinyi ameshiriki uzinduzi wa kampeni za Chama cha Mapinduzi Dar es Salaam.

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar na Mgombea Mteule wa CCM kwa nafasi ya Urais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameshiriki Uzinduzi wa Kampeni za Chama Cha Mapinduzi…

Read More