Dk.Shein amemuapisha Naibu Mkuu wa Kikosi Maalum cha kuzuiya Magendo KMKM
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein leo amemuapisha Kapteni Khamis Simba Khamis kuwa Naibu Mkuu wa Kikosi Maalum cha Kuzuia Magendo (KMKM).
Read More