Media

Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali inaendelea kutekeleza mikakati na juhudi maalum za kuongeza thamani ya zao la mwani

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali inaendelea kutekeleza mikakati na juhudi maalum za kuongeza thamani ya zao la mwani, kwa…

Read More

Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameishukuru Serikali ya India kwa kuendelea kuimarisha ushirikiano wake na Zanzibar katika sekta mbalimbali za maendeleo ya kiuchumi na kijamii.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameishukuru Serikali ya India kwa kuendelea kuimarisha ushirikiano wake na Zanzibar katika sekta mbalimbali…

Read More

Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameihimiza Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) kuendelea kuwekeza katika teknolojia, usalama wa mifumo ya kifedha

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameihimiza Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) kuendelea kuwekeza katika teknolojia, usalama wa mifumo ya kifedha,…

Read More

Wakati umefika kwa Zanzibar kuwa na mfumo madhubuti wa matumizi na usimamizi bora wa ardhi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema wakati umefika kwa Zanzibar kuwa na mfumo madhubuti wa matumizi na usimamizi bora wa ardhi, ili kuhakikisha…

Read More