Media

Rais Dkt. Mwinyi ameshiriki katika Maziko ya Sheikh Said Othman Al Kadiry.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amejumuika na viongozi pamoja na wananchi mbalimbali katika maziko ya Sheikh Said Othman Al Kadiry, aliyefariki…

Read More

Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema kuwa uwasilishaji wa Tamko la Pamoja baina ya Chama Cha Mapinduzi na ACT Wazalendo ni hatua muhimu inayofungua njia ya utekelezaji wa Umoja Zanzibar.j

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema kuwa uwasilishaji wa Tamko la Pamoja baina ya Chama Cha Mapinduzi na ACT Wazalendo ni hatua muhimu…

Read More

Dkt Hussein Ali Mwinyi amesema Upo umuhimu Mkubwa kwa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki kuimarisha Uhusiano katika nyanja ya Diplomasia ya Uchumi na Uwekezaji

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe, Dkt Hussein Ali Mwinyi amesema Upo umuhimu Mkubwa kwa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki kuimarisha Uhusiano katika nyanja ya Diplomasia…

Read More

Alhaj Dkt. Mwinyi, amejumuika na waumini wa dini ya Kiislamu katika Sala ya Ijumaa iliyosaliwa katika Msikiti wa Mubarak Mazrui, uliopo Mombasa

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amejumuika na waumini wa dini ya Kiislamu katika Sala ya Ijumaa iliyosaliwa katika Msikiti wa Mubarak Mazrui,…

Read More