Vikundi vya Wanawake vya Indonesia na vile vya Zanzibar kuanzisha ushirikiano

MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein amesisitiza haja ya kuwepo kwa mashirikianao kati ya vikundi vya wanawake vya Indonesia na vile vya Zanzibar kwa lengo la kuongeza kasi katika juhudi…

Read More

Dk.Shein,ameondoka nchini kuelekea Uingereza kwa safari maalum ya wiki tatu

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, ameondoka nchini leo kuelekea Uingereza kwa safari maalum ya wiki tatu.Katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid…

Read More

Uteuzi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Ali Mohamed Shein kwa kutumia uwezo aliopewa chini ya Kifungu 119 cha Katiba ya Zanzibar ya Mwaka 1984 amefanya uteuzi wa…

Read More

UTEUZI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Ali Mohamed Shein amefanya uteuzi wa viongozi katika taasisi mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kama ifuatavyo:-

Read More

Dk.Shein amekutana na viongozi wa vyama mbali mbali vya siasa

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amekutana na viongozi wa vyama mbali mbali vya siasa kwa ajili ya kushauriana namna bora zaidi ya kuwapata wajumbe…

Read More

Wananchi wa Mkanyageni wameridhika na Uongozi wa Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein.

WANANCHI wa Mkanyageni, Mkoa wa Kusini Pemba wameeleza kuridhika kwao na uongozi wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein kutokana na kuwajali wananchi…

Read More

Dk.Shein amefutari pamoja na Wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein amefutari pamoja na wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba na kusisitiza umuhimu wa kuendeleza umoja na mshikamano miongoni…

Read More