News and Events

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuimarisha Usafiri wa mizigo Pemba.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali imejipanga kikamilifu kumaliza tatizo la usafiri na usafirishaji wa mizigo katika Kisiwa…

Read More

Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewaongoza viongozi na wananchi mbalimbali katika maziko ya marehemu Joseph Abdallah Meza.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewaongoza viongozi na wananchi mbalimbali katika maziko ya marehemu Joseph Abdallah Meza.

Read More