Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akipokuwa akimkabidhi cheti Rais Mstaafu wa tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi wakati wa kuwazawadia wachangiaji waliochangia kiwango kikibwa cha Fedha  katika hafla ya uchangiaji wa Vifaa vya michezo katika Skuli za Serikali za Zanzibar iliyofanyika jana katika  Ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja Mjini Unguja.