Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akipokea salam za heshima kutoka kwa Askari Polisi leo, tarehe 27 Mei 2026, kabla ya kulihutubia Baraza la Eid lili
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akipokea salam za heshima kutoka kwa Askari Polisi leo, tarehe 27 Mei 2026, kabla ya kulihutubia Baraza la Eid lililofanyika katika Uwanja wa Kufurahishia Watoto Tibirinzi, Chakechake, Mkoa wa Kusini Pemba.