Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Mapema baada ya sala Eid El-Hajj alifika Ikulu Ndogo ya Pagali katika eneo maalum lililoandaliwa kwa ajili ya kuch
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Mapema baada ya sala Eid El-Hajj alifika Ikulu Ndogo ya Pagali katika eneo maalum lililoandaliwa kwa ajili ya kuchinja mnyama wa (Udh-hiya), ikiwa ni sehemu ya ibada ya Eid, pamoja na kutoa mkono wa Eid kwa Masheikh wa Mkoa huo, kama ilivyo Sunna katika kusherehekea Sikukuu ya Eid El-Hajj.