Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi na wachangiajhi waliopewa Vyeti wakati wa hafla ya uchangiaji wa Vifaa vya michezo katika Skuli za Serikali za Zanzibar iliyofanyika jana katika Ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja Mjini Unguja..
Dk.Ali Mohamed Shein akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi na wachangiajhi waliopewa Vyeti
