Rais wa Zanzibar na MBLM Dkt. Hussein Mwinyi akipokea zawadi kutoka kwa miongoni mwa wajasiriamali wenye ulemavu alipokutana na makundi ya watu wenye ulemavu katika hafla ya kampeni zake iliyofanyika
Rais wa Zanzibar na MBLM Dkt. Hussein Mwinyi akipokea zawadi kutoka kwa miongoni mwa wajasiriamali wenye ulemavu alipokutana na makundi ya watu wenye ulemavu katika hafla ya kampeni zake iliyofanyika katika Ukumbi wa Idrissa Abdulwakil, Kikwajuni, Mkoa wa Mjini Magharibi.