RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, alipokuwa akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa CRDB Bw.Ally Hussein Laay (kulia) wakati alipowasili katika viwanja vya Tawi la Benki ya CRDB katika Mji wa Chake chake Pemba wakati wa Uzinduzi rasmi wa Tawi hilo uliofanyika.
Dk.Ali Mohamed Shein, alipokuwa akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa CRDB
