Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akipokuwa akimkabidhi cheti Mkewe Mama Mwanamwema Shein wakati wa kuwazawadia wachangiaji waliochangia kiwango kikibwa cha Fedha katika hafla ya uchangiaji wa Vifaa vya michezo katika Skuli za Serikali za Zanzibar iliyofanyika jana katika Ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja Mjini Unguja.
Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akipokuwa akimkabidhi cheti Mkewe Mama Mwanamwema Shein
