Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akizungumza alipojumuika na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika futari aliyoiandaa kwa ajili ya wananchi wa Mkoa w
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akizungumza alipojumuika na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika futari aliyoiandaa kwa ajili ya wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi.Hafla hiyo imefanyika leo tarehe 05 Machi 2026 katika Ukumbi wa Sheikh Idris Abdul Wakil, Kikwajuni, Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.