Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akizungumza leo tarehe 16 Julai 2026, wakati wa Jukwaa la Nne la Kuuenzi Urithi wa Mkapa pamoja na Maadhimisho ya Mia
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akizungumza leo tarehe 16 Julai 2026, wakati wa Jukwaa la Nne la Kuuenzi Urithi wa Mkapa pamoja na Maadhimisho ya Miaka 20 tangu kuanzishwa kwa Taasisi ya Benjamin William Mkapa Foundation, yaliyofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC), jijini Dar es Salaam.