RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amemshukuru Mfanyabiashara na mdau wa Utalii Duniani Nicholas Reynolds “Bongozozo”

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amemshukuru Mfanyabiashara na mdau wa Utalii Duniani Nicholas Reynolds ‘ Bongozozo’ kwa juhudi zake za kuendeleza…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi ameupongeza utayari wa Serikali ya Italia kuunga mkono juhudi za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika utekelezaji wa mipango yake ya maendeleo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameupongeza utayari wa Serikali ya Italia kuunga mkono juhudi za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika utekelezaji…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi ameutaka Uongozi wa Wizara ya Afya, Ustawi wa Jamii, Wazee, Jinsia na Watoto kuhakikisha kituo cha Afya Kidimni kinakuwa na wataalamu wa huduma zote zinazopatikana kituoni hapo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameutaka Uongozi wa Wizara ya Afya, Ustawi wa Jamii, Wazee, Jinsia na Watoto kuhakikisha kituo cha Afya Kidimni kinakuwa…

Read More

Uzinduzi wa Taasisi Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF)

ya MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi amesema kuwa dhamira iliyompelekea kuanzisha Taasisi Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF), ni kuweza kutumia ujuzi, maarifa na uzoefu alionao katika…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Hayati Dr, Mwelecele Ntuli Malecela (Dr. Mwele) ni mwanataaluma aliejitolea kwa dhati kulipigania Taifa la Tanzania

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Hayati Dr, Mwelecele Ntuli Malecela (Dr. Mwele) ni mwanataaluma aliejitolea kwa dhati kulipigania Taifa la…

Read More