Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amemhakikishia Balozi wa Uingereza nchini Tanzania kuwa Serikali ya Zanzibar iko tayari kushirikiana na Nutri-Sun Limited kukamilisha mradi wa Kiwanda cha Mwani

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amemhakikishia Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Mhe. David Conar na ujumbe wake kuwa Serikali ya Zanzibar…

Read More

Zanzibar kuanzisha Kitengo cha Magonjwa ya Moyo.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali ipo tayari kushirikiana na Taasisi ya JKCI kwa kuanzisha kitengo cha kuhudumia magonjwa ya moyo Zanzibar…

Read More