Zanzibar na Vietinam zimetakiwa kuanzisha uhusiano na ushirikiano katika sekta ya afya

MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein ameeleza haja ya kuanzishwa uhusiano na ushirikiano kati ya sekta ya afya ya Zanzibar na hospitali ya Taifa ya Watoto ya Vietnam katika maeneo ya…

Read More

Dk.Shein amefanya mazungumzo na Rais wa Vietnam Mhe.  Truong Tan Sang

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein amefanya mazungumzo na Rais wa Vietnam Mhe. Truong Tan Sang ambapo kiongozi huyo wa Vietnam alieleza kuwa ziara…

Read More

Zanzibar na Vietnam zimekubaliana kuimarisha uhusiano na ushirikiano wa kukuza sekta za maendeleo.

ZANZIBAR na Vietnam zimekubaliana kuimarisha uhusiano na ushirikiano katika kukuza sekta za maendeleo na uchumi huku Vietnam ikiahidi kuiunga mkono Zanzibar katika kuhakikisha inafikia malengo…

Read More

Dk.Ali Mohamed Shein ameondoka nchini kuelekea nchini Vietnam kwa ziara ya Kiserikali

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein ameondoka nchini kuelekea nchini Vietnam kwa ziara ya Kiserikali kufuatia mualiko rasmi wa Kiongozi wa nchi hiyo.Katika…

Read More

Mafanikio yatapatikana kwa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki iwapo zitatumia vyema rasilimali zao

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameeleza kuwa mafanikio makubwa yanaweza kupatikana katika nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki iwapo zitatumia vyema…

Read More

Dk.Shein ametuma salamu za pongezi kufuatia ushindi wa Rais Barack Obama wa Marekani

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein ametuma salamu za pongezi kufuatia ushindi wa Rais Barack Obama wa Marekani katika Uchaguzi Mkuu wa nchi hiyo…

Read More

Serikali ya India imetakiwa kurejesha utamaduni uliokuwa ukifanya miaka ya nyuma

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameleza haja kwa Serikali ya India kurejesha utamaduni uliokuwa ukifanya miaka ya nyuma wa kuwaleta madaktari bigwa…

Read More

Wawekezaji kutoka Hispania kuja kuekeza Zanzibar hasa katika sekta ya utalii.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amewakaribisha wawekezaji kutoka Hispania kuja kuekeza Zanzibar hasa katika sekta ya utalii, kutokana na nchi hiyo…

Read More