Dkt, Hussein Ali Mwinyi ametoa Mkono wa pole kwa Familia ya Marehemu Charles Martin Barnabas Hilary

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt, Hussein Ali Mwinyi ametoa Mkono wa pole kwa Familia ya Marehemu Charles Martin Barnabas Hilary, Msemaji Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi…

Soma Zaidi

Dkt, Hussein Ali Mwinyi   ameungana na Viongozi mbali mbali wa Kitaifa Kuuaga Mwili wa aliekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Cleopa Davi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt, Hussein Ali Mwinyi ameungana na Viongozi mbali mbali wa Kitaifa Kuuaga Mwili wa aliekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano…

Soma Zaidi

Dk. Mwinyi amezindua Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amezindua Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia na kuiagiza Wizara ya Nchi, Ofisi ya Rais – Katiba, Sheria…

Soma Zaidi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi amejumuika pamoja na Mgeni wake   Rais wa Msumbiji Daniel Fransisco Chapo na Ujumbe wake katika Dhifa ya Chakula cha Mchana.Hafla hiyo imefanyika

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi amejumuika pamoja na Mgeni wake Rais wa Msumbiji Daniel Fransisco Chapo na Ujumbe wake katika Dhifa ya Chakula cha Mchana.Hafla hiyo imefanyika…

Soma Zaidi

Zanzibar itaendelea   kuimarisha Ushirikiano wa kiuchumi na Diplomasia na Msumbiji kwa manufaa ya Nchi hizo mbili.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt, Hussein Ali Mwinyi amesema Zanzibar itaendelea kuimarisha Ushirikiano wa kiuchumi na Diplomasia na Msumbiji kwa manufaa ya Nchi hizo…

Soma Zaidi