Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itahakikisha inayajenga wenyewe masoko ya Jumbi, Mwanakwerekwe na Chuini kupitia Jeshi a Kujenga Uchumi Zanzibar (JKU).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameeleza kwamba Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itahakikisha inayajenga wenyewe masoko ya Jumbi, Mwanakwerekwe na…
Read More