News and Events

Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa kushirikiana na Kampuni za DNATA na EGIS katika uendeshaji wa Huduma za Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Terminal III

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Mwinyi amesema uamuzi wa Serikali wa kushirikiana na Kampuni za National Air Travel Agency (DNATA) pamoja na EGIS katika uendeshaji…

Read More

Hatua za makusudi zinapaswa kuchukuliwa ili kuzuia na kupunguza madhara yatokanayo na maafa

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa hatua za makusudi zinapaswa kuchukuliwa ili kuzuia na kupunguza madhara yatokanayo na maafa, ingawa ni…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi amepongeza utayari wa uongozi wa Kanisa la Efatha wa kuunga mkono juhudi za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika kuleta maendeleo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amepongeza utayari wa uongozi wa Kanisa la Efatha wa kuunga mkono juhudi za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika…

Read More

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan amempongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa kazi kubwa na nzuri ya kuiletea maendeleo Zanzibar

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan amempongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa kazi…

Read More