Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akisalimiana na Spika wa Baraza la Wawakilishi katika viwanja wa Baraza hilo hapo chukwani Zanzibar wakati Mheshimi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akisalimiana na Spika wa Baraza la Wawakilishi katika viwanja wa Baraza hilo hapo chukwani Zanzibar wakati Mheshimiwa rais alipokwenda kulizindua Baraza hilo leo tarehe 10 Octoba, 2025.