Rais Dkt. Mwinyi akishughudia utiaji wa saini wa mkataba wa ujenzi, ukarabati na upanuzi wa Hospitali ya Mnazi Mmoja kati ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Kampuni ya Jiangxi International Econo
Rais Dkt. Mwinyi akishughudia utiaji wa saini wa mkataba wa ujenzi, ukarabati na upanuzi wa Hospitali ya Mnazi Mmoja kati ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Kampuni ya Jiangxi International Economic and Technical Cooperation Co. Limited.Katika hafla hiyo, Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. Mngereza Miraji Mzee, amesaini kwa niaba ya Serikali ya Zanzibar, huku Mkurugenzi wa Kampuni ya Jiangxi International, Bw. Peng Chao, akisaini kwa niaba ya kampuni hiyo leo tarehe 13 Octoba,2025