MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipiga kuwa kumchagua Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipiga kuwa kumchagua Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Kichama na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Mjini, uliyofanyika katika ukumbi wa CCM Amani Mkoa 20-11-2022.