Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (katikati) akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Skuli ya Turkish Maarif Zanzibar iliyopo Kijiji cha SoS Mombasa Jijini Zanzibar .

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (katikati)akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Skuli ya Turkish Maarif Zanzibar iliyopo Kijiji cha SoS Mombasa Jijini Zanzibar ambapo amemuwakilisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyipamoja na sherehe ya Mahfali ya kwanza ya kidato cha sita skulini hapo.