Mke wa Rais wa Zanzibar, Msarifu na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mhe.Mama Mariam Mwinyi akimkabidhi zawadi ya picha ya mlango Balozi Mdogo Mpya wa C
Mke wa Rais wa Zanzibar, Msarifu na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mhe.Mama Mariam Mwinyi akimkabidhi zawadi ya picha ya mlango Balozi Mdogo Mpya wa China anaefanyia kazi zake Zanzibar Mhe. Li Quanghua aliefika Ofisini kwake Migombani kwa kujitambulisha tarehe 27 Juni 2025.