Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akiingia katika ukumbi wa mkutano wa Ikulu Zanzibar alipokutana na Wajumbe wa Kamati ya Michezo ya Majeshi ya Tanza
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akiingia katika ukumbi wa mkutano wa Ikulu Zanzibar alipokutana na Wajumbe wa Kamati ya Michezo ya Majeshi ya Tanzania (BAMATA) waliomtembelea Ikulu kwa ajili ya kujitambulisha kwa mazungumzo.