RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Saleh Omar Kaabi, baada ya kumazika kwa Kilele cha Maadhimisho ya Mwaka Mp
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Saleh Omar Kaabi, baada ya kumazika kwa Kilele cha Maadhimisho ya Mwaka Mpya wa Kiislamu 1447 Hijria, iliyofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 26-6-2025