Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi amefungua Mskiti wa Masjid Noorul Qadiriya Kandwi na kujumuika katika Sala ya Ijumaa

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk,Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuashiria ufungua wa Msjid Noorul Qadiriya Kandwi Wilaya ya Kasakazini “A” Unguja leo 30-9-2022 na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud na (kushoto kwa Rais) Mwenyekiti wa Kamati ya Masjid Noorul Qadiriya Sheikh.Ali Suleiman Mawele.