Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amehutubia maadhimisho ya Miaka Miwili ya Uongozi wake katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi ya picha ya kuchora na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe. Zahro Mattar Masoud, wakati wa Maadhimisho ya Miaka Miwili ya Uongozi wake, yaliyofanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba 8-11-2022.