Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akitunukiwa Tuzo Maalum ya kuwa Mhamasishaji Bora wa Sekta ya Uwekezaji Zanzibar, kwa juhudi zake za kufungua milan
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akitunukiwa Tuzo Maalum ya kuwa Mhamasishaji Bora wa Sekta ya Uwekezaji Zanzibar, kwa juhudi zake za kufungua milango ya uwekezaji Zanzibar, ikiwemo kukifungua kiuchumi Kisiwa cha Pemba na kuwavutia wawekezaji kutoka ndani na nje ya nchi.