Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amekutana na kuzungumza na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe.Dkt. Stergomena Tax Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiza Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe.Dkt. Stergomena Tax, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha 25-10-2022, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu.