Rais wa Zanzibar na MBLM Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Khamis Kona Khamis kuwa Mkurugenzi wa Uchauzi katika Tume ya Uchaguzi Zanzibar hafla iliyofanyika Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kushoto) akimuapisha Khamis Kona Khamis kuwa
Mkurugenzi wa Uchauzi katika Tume ya Uchaguzi Zanzibar hafla iliyofanyika
leo ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.