Rais wa Zanzibar na MBLM Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasili katika katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar-es-Salaam katika Maadhimisho ya Kumbukizi ya Hayati Rais Benjamin William Mkapa.
Rais wa Zanzibar na MBLM Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasili katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar-es-Salaam katika Maadhimisho ya Kumbukizi ya Hayati Rais Benjamin William Mkapa.