Rais wa Zanzibar na MBLM Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na Balozi Mdogo wa Msumbiji anayefanyia kazi zake Zanzibar Mhe.Agostino Abacar Trinta alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia)akizungumza na Balozi Mdogo wa Msumbiji anayefanyia kazi zake Zanzibar Mhe.Agostino Abacar Trinta alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha.